Post

Manamba mpenda sketi arambishwa vumbi

published on
Kondakta mmoja mtaani Kawangware, Nairobi alijikuta kona mbaya baada ya mume wa kidosho aliyekuwa na mazoea ya kumlipia nauli kumkaba koo. Penyenye zinasema kwa muda mrefu lofa amekuwa akimlipia kidosho nauli kila alipoabiri matatu hiyo. Habari Nyingine: Mwanafunzi wa shule ya Maranda aambukizwa COVID-19 Kulingana na Taifa Leo, manamba huyo hakufahamu demu ambaye alikuwa akimmezea mate alikuwa mke wa mtu. Duru zinaarifu kwamba siku ya kioja, demu aliabiri matatu hiyo akiwa na jamaa fulani ambaye waliketi naye sako kwa bako. Read More...

Buhari Impeachment: PDP Senators Confused Babies Who Only Wanted Attention

published on
The presidency has rubbished the attempt by some senators of the Peoples Democratic Party (PDP) to initiate impeachment proceedings against President Muhammadu Buhari on Wednesday. A statement on Wednesday evening by the special adviser to the President on media and publicity, Garba Shehu said the move was ridiculous. Describing the PDP lawmakers as babies who only wanted media attention, Shehu urged them to focus on how to support the executive in nation-building. Read More...

Hawa ndio wachumba 18 wanaopendana zaidi nchini Kenya?

published on
Kenya ina wanawake warembo, na hiyo sio siri. Lakini sio wengi wanaojua wachumba wanaopendana zaidi nchini. TUKO.co.ke imeorodhesha wachumba wapendenao zaidi nchini. 1. Sarah Hassan na Martin Dale 2. Chipukeezy na Empress Kerry 3. Mcheshi Eric Omondi na Chantal Grazioli 4. Eddie Ndichu na Janet Mbugua 5. Chiki Onukwe na Bien Aime Baraza Habari Nyingine: Tazama mbwa huyu alichomfanyia mmiliki wake mlemavu 6. Shiv Gymit na Miss Tiramisu 7. Celestine Ndinda na mcheshi Njugush 8. Read More...