The re-arrest order on Hauwa Muhammad, popularly known as Jaruma has been vacated by an upper area court in Zuba, Abuja. Recall that the self-acclaimed sex therapist was arrested and charged to court over defamation of character, false news publication and intimidation.
The former lawmaker representing Aniocha North-South and Oshimili North-South, Ned Nwoko had submitted a petition against her.
Jaruma was granted bail in January after she spent four days in prison, she was, however, absent when the hearing of the case resumed in February. Read More...
- Mratibu wa ukanda wa Pwani Nelson Marwa kwa mara nyingine amemshambulia gavana Hassan Joho
- Gavana Joho amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Jubilee na Rais Uhuru Kenyatta
Mratibu wa ukanda wa Pwani Nelson Marwa kwa mara nyingine amemkosoa vikali gavana wa Mombasa Hassan Joho.
Habari Nyingine: Mwanasiasa akwama JKIA, abiria watishia kumpiga mhudumu
Katika kikao na wanahabari, Marwa alisema kuwa ni wanaouza dawa za kulevya pekee wanaohitaji kuwa na zaidi ya bunduki moja. Read More...
-Mwimbaji wa nyimbo za injili Willy Paul ameshambuliwa vikali katika mitandao jamii
-Mwimbaji huyo ambaye ni maarufu kwa kuzua utata alichapisha picha aliyopigwa na mtoto
-Picha hiyo ilisababisha baadhi ya wafuasi wake kumkashifu kwa kumwiga mwimbaji mwenza Bahati
Mwimbaji Willy Paul amekashifiwa tena katika mitandao jamii. Hii ni baada ya mwimbaji huyo kuchapisha picha akiwa na mtoto mdogo ambaye ni shabiki wake.
Habari Nyingine: Shirika hili la Marekani ladaiwa KUMFADHILI Raila Odinga Labda alidhania atapata sifa lakini lo! Read More...